SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, April 29, 2013

GODBLESS LEMA AACHIWA KWA DHAMANA


Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, leo ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni moja katika mahakama kuu kanda ya Arusha. Kwa sasa mamia ya wafuasi wa Chadema wanaandamana na mbunge huyo kuelekea makao makuu ya chama hicho.
CHANZO GPL

0 comments:

Post a Comment