Mwanamuziki Linah akiwa na wadau wa DMK Promotions
Mwanamuziki Machachari Linah kutoka nchini Tanzania hivi karibu alimaliza ziara yake nchini Marekani naanzania kurejea nchini Tanzania baada ya kupiga show kali kwenye miji mbalimbali nchini Marekani na Kufanya Video Shooting Kali na Wadau Wa DMK Promotions
0 comments:
Post a Comment