Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012 na Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe alioupokea Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 30, 2012 toka kwa Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. shoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
PICHA ZOTE NA IKULU
0 comments:
Post a Comment