SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 7, 2012

Nape Nnauye Ampongeza John Mnyika Kwa Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi Wa Chadema


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,(CCM) Nape Nnauye.
Mheshimiwa John MyikaMbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)na Mkuu wa Habari na Uenezi
===
Akizungumza jana mjini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema anampongeza sana John Myika kuteuliwa na Chadema kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi wa chama hicho.

"Nasema hatua ya Chadema kumchagua Mnyika kushika nafasi hiyo ni nzuri kwa kuwa imeonyesha ni jinsi gani vijana wanaendelea kuaminiwa na kupewa nafasi muhimu za uongozi", alisema Nape na kumkaribisha Mnyika katika ulingo wa viongozi wa Uenezi katika vyama vya siasa.

0 comments:

Post a Comment