Rais
Kikwete afanywa mtemi Urambo!!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
muda mfupi baada ya kuvikwa mavavi ya kijadi kama mtemi na malkia wa
Wanyamwezi leo wakati wa hafla ya ufunguzi wa ofisi ya mbunge wa jimbo
la Urambo Mshariki leo mchana(picha na Freddy Maro)
(Picha
na Tiganya Vincent)-MAELEZO-Urambo
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Aden Rage (kulia)
akishirikiana na Spika wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta kumsindikiza
Rais Kikwete leo mjini Urambo mara baada ya uzinduzi wa Ofisi ya Mbunge
wa Urambo Mashariki.
Rais
Kikwete afungua ofisi ya Mbunge Urambo Mashariki!!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua
kitambaa kufungua rasmi ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki leo
asubuhi.Pembeni ya Rais ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni
Spika Samuel Sita.



0 comments:
Post a Comment