Rais Jakaya Kikwete
akutana Wasanii Nyota wa Bongo Fleva Dodoma
JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa
Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao
watatumbuiza wikiendi hii kwenye Fiesta 2010. Jana JK aliwaalika Ikulu
Ndogo ya Chamwino na kupata nao dina la mchana
JK akisalimiana na Chegge
JK akisalimiana na Fid Q
JK na Cpwaa
JK na Mh. Temba
JK akipeana mikono na Dully Sykes
JK na Mwanafalsafa
JK na Barnaba wa THT
JK na wasanii
JK akisalimiana na Fellah, kiongozi wa Wanaume TMK
JK na mwamba wa Kaskazini
JK na Kalapina wa TMK Wanaume
JK akisalimiana na Marlaw
JK akisalimiana na msanii wa THT
Mama Salma Kikwete akimsalimu Marlaw
Mama Salma Kikwete akisalimia wasanii
Ni wakati wa maakuli
na issamichuzi blog




0 comments:
Post a Comment