Mbunifu
wa mavazi wa kutoka Tanzania,Sheria Ngowi (mwenye koti jeupe)
akiwasalimia watazamaji waliofika kujionea Maonyesho ya Mavazi mbali
mbali katika tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week lililofanyika
usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.Mavazi
ya Mbunifu Sheria Ngowi yalionekena kupendwa sana na watazamaji hao
(hawapo pichani),kwani ilikuwa kila vazi likipita walisikika wakipiga
kelele za kushangilia.
Showing posts with label nchini Afrika Kusini. Show all posts
Showing posts with label nchini Afrika Kusini. Show all posts
Friday, November 1, 2013
Mbunifu Sheria Ngowi afunika kwenye tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,nchini Afrika Kusini
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Friday, November 01, 2013
0
comments
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Labels:
Mbunifu Sheria Ngowi afunika kwenye tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,
nchini Afrika Kusini





