Na Josephat Lukaza wa Proin
Promotions Limited - Mwanza
Promotions Limited - Mwanza
Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza.



