SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Taarifa Kwa Umma Kutoka Kwa Mwenyekiti. Show all posts
Showing posts with label Taarifa Kwa Umma Kutoka Kwa Mwenyekiti. Show all posts

Tuesday, January 28, 2014

Taarifa Kwa Umma Kutoka Kwa Mwenyekiti, Chama Cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Juu ya Deni la Taifa na Uteuzi wa Waziri Mpya wa Fedha na Uchumi

 Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Mwenyekiti, Chama Cha Wananchi CUF.
---
CHAMA CHA WANANCHI(CUF)

Rais Kikwete amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri baada ya Mawaziri wanne kuachishwa kazi kutokana na kashfa ya uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliotokea katika Operesheni Tokomeza na kifo cha Waziri wa Fedha. Katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Rais Kikwete hakuzingatia malalamiko ya Sekretariati ya CCM kuwa Mawaziri Mizigo wanakiathiri chama CCM hususani wakati huu tukielekea katika uchaguzi mkuu 2015.