SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label TFDA yateketeza vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 188. Show all posts
Showing posts with label TFDA yateketeza vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 188. Show all posts

Thursday, March 13, 2014

TFDA yateketeza vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 188

1
Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza akizungumza na wanahaabari (hawapo pichani) kuhusu vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Frank Mvungi.Picha na Husssein Makame-MAELEZO.