Tukio hilo limevuta hisia za watu wengi katika kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo jijini dar es salaam baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kutoka kwa samaria wema na kuweka mtego na kisha kufanikiwa kuwakamata watu hao wawili wakiwa na bunduki moja aina ya smg yenye magazine mbili pamoja na risasi 148.
Showing posts with label Polisi wafanikiwa kuwakamata watu wawili wanaosadikiwa ni majambazi.. Show all posts

Thursday, March 13, 2014
Polisi wafanikiwa kuwakamata watu wawili wanaosadikiwa ni majambazi.
Tukio hilo limevuta hisia za watu wengi katika kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo jijini dar es salaam baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kutoka kwa samaria wema na kuweka mtego na kisha kufanikiwa kuwakamata watu hao wawili wakiwa na bunduki moja aina ya smg yenye magazine mbili pamoja na risasi 148.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Thursday, March 13, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook