SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Show all posts
Showing posts with label Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Show all posts

Monday, January 20, 2014

Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar

DSC_0001
Baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Arnold Nkhoma wakisaini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa mmoja wa mabinti wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma.
DSC_0007
Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mmoja watoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch (katikati).