SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Kongamano na Maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi. Show all posts
Showing posts with label Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Kongamano na Maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi. Show all posts

Wednesday, October 23, 2013

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Kongamano na Maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, Jijini Dar leo

01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 (Picha zote na OMR).