Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika kongamano na mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wanawake CUF Wilaya ya Magharibi huko hoteli ya Bwawani.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na wanachama wa CUF wakati akijiandaa kuingia katika kongamano na mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wanawake CUF Wilaya ya Magharibi huko hoteli ya Bwawani.
Vijana wa sarakasi wakitoa burdani katika kongamano la CUF wanawake huko hoteli ya Bwawani



