Sehemu
ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa
yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar
es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano
mkubwa wa magari kuanzia jana jioni na leo.