SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MAZISHI YA MAKAMU WA RAIS WA ZIMBABWE HAYATI LANDA JOHN NKOMO. Show all posts
Showing posts with label MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MAZISHI YA MAKAMU WA RAIS WA ZIMBABWE HAYATI LANDA JOHN NKOMO. Show all posts

Tuesday, January 22, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MAZISHI YA MAKAMU WA RAIS WA ZIMBABWE HAYATI LANDA JOHN NKOMO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Makamu wa Rais wa Zimbabwe Marehemu Dkt. Landa John Nkomo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana kwenye Makaburi ya Mashujaa jijini Harare.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika Viwanja vya Makaburi ya Mashujaa jijini Harare, walipohudhuria maziko ya Makamu wa Rais wa Zimbabwe Marehemu Dkt. Landa John Nkomo yaliyofanyika jana jijini Harare Zimbwabwe.