SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS. Show all posts
Showing posts with label KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS. Show all posts

Tuesday, December 17, 2013

KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS, POLEPOLE CLASSIC NA BURHAN BUS SERVICES

 KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS, POLEPOLE CLASSIC NA BURHAN BUS SERVICES
*****
 Hivi karibuni mabasi yanayomilikiwa na kampuni za Osaka Class, Polepole Classic na Burhan Bus Services yalihusika katika ajali zilizotokea katika maeneo na siku tofauti ambapo watu walipoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
 
 Kutokana na hali hiyo Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imechukua hatua kwa wahusika kama ifuatavyo: