








Shukrani za Pekee Kwa Mwenyezi Mungu kwa Kutuwezesha Watu wa MATUKIO kufanikisha TUKIO hili la Upendo kwa WATOTO YATIMA, Pasaka yetu hakika imekuwa Njema saana TUMEKULA, TUMECHEZA na KUOGELEA Pamoja na WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AMANI. Ikumbukwe:Watu wa MATUKIO na WATOTO yatima ni Damu Moja.




0 comments:
Post a Comment