SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 10, 2014

TASWIRA: HII NDIO ATHARI YA ZOEZI ZIMA LA BOMOA BOMOA LINALOENDELEA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM ILIYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO.

UKITIZAMA KWA HARAKA HARAKA UNAWEZA UKADHANI PICHA  HIZI NI ZA ZAMANI LA HASHA, PICHA HIZI SI ZA ZAMANI. BALI HII NDIO HALI HALISI ILIVYO LEO YA ATHARI YA ZOEZI ZIMA LA BOMOA BOMOA. IKIJUMUISHA MITAA MBALIMBALI IKIWEMO ZANAKI, INDIA, INDIRA GANDHI NA MITAA MINGINEYO KATIKATI YA JIJI LA DAR.
 
 MMOJA KATI YA WAATHIRIKA WA BOMOA BOMOA HIYO, ANAYEMBULIKA  KWA JINA LA MUSHTAK MMILIKI WA MARS TRAVELS TRAVEL(Mtaa waZanaki) 
AKIHOJIWA NA WANAHABARI WA KITUO CHA TELEVISHENI.
 HUYU PIA NI MMOJA KATI YA WAATHIRIKA WA BOMOA BOMOA HIYO JINA LAKE HALIKUWEZA KUPATIKANA KWA URAHISI. 
Mtaa wa Zanaki - MARS TRAVELS
HILI NDILO DUKA LA KUUZA NA KUNUNUA/KUBADILISHIA  PESA ZA KIGENI ZA MATAIFA MBALIMBALI LINALOJULIKANA KWA JINA LA MC SOMS BUREAU DE CHANGE LIPO MTAA WA INDIA KAMA LINAVYOONEKANA KWA SASA PICHANI
 HILI NI DUKA LA BATA LIPO INDIA NA INDIRA GANDHI KARIBU NA MSIKITI WA NGAZIJA
 YAANI.......ILIKUWA TAFARANI-Mtaa wa India
Upanga - TUNAKOPESHA











MUONEKANO MAENEO HAYA KATIKATI YA JIJI LEO ULIKUWA TOFAUTI KABISA.......
 MTAA WA ZANAKI
======
MANENO ALIYOSEMA MOLEDINA ABBAS
"Nilishangaa sana nilipofika mjini na kukuta kuna vurugu asubuhi asubuhi nilipokuwa njiani nikielekea kazini, Niliona mabanda yaliyowekwa nje ya maduka yakiwa yapo katika hali mbaya na yananinginia. Waya za umeme na za vitu vingine vikiwa vinaninginia na kuleta hatari kwa wapita njia."

Baada ya kuwauliza watu ni nini kilichotokea, Nilielezwa kwamba watu wa jiji walikuja na kuanza kuyabomoa mabanda hayo wakati wa saa Tisa usiku wa kuamkia leo Alhamisi Tarehe 10 April 2014.

Some of the owners were in total shock as they never expected that one fine morning when they go to their shop to earn the bread for their family they would see their shops damaged and would suffer this sudden loss.


MNASEMAJE KUHUSU HAYO YANAYOENDELEA MJINI DAR ES SALAAM??
======
PICHA KWA HISANI YA ALLYSHAMS BLOG NA ABBAS MOLEDINA