SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, April 12, 2014

MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA NA WAPINZANI WAO, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA LEO

 Bondia Fransic Cheka (kulia) akipima uzito na mpinzani wake kutoka nchini Iran, Gavad Zohrehvand, jana mchana kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, kwa ajili ya pambano lao la Kimataifa la kirafiki lisilo la Ubingwa litakalofanyika Leo kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa PST Emmanuel Mnundwa.

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya pambano lao la Leo. 
Bondia Mustafa Dotto (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzichapa Leo katika pambano la utangulizi.