SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 5, 2014

Breaking Newsss Nyumba yaungua na kuteketeza mtoto wa miezi mitatu Block T Mbeya

Sehemu ya nyumba ya Ndugu Aden Mwambugu ambamo Ndugu Honest Shoo alikuwa amepanga ikiwa imeteketea kabisa.
Mjomba wa Marehemu akiwa amebeba mwili wa mtoto Clara Honest ambae ana umri wa miezi mitatu  mwili wa mtoto huyo umeteketea kwa moto Chumba ulimokutwa Mwili wa marehemu Clara Honest
Polisi wakiondoka na mwili wa mtoto huyo Mwenyekiti wa mtaa wa Block T Ndugu Majembe akimwongoza Honest Shoo ambaye ni mfanyakazi wa Bank ya Posta kitengo cha masoko (mwenye shati nyeupe) kwenda kutoa maelezo kwa polisi waliofika katika tukio.
Mama mzazi wa mtoto Crala akilia kwa uchungu kulia ni binti wa kazi
Chanzo cha moto huo hakijajulikana
Picha kwa hisani ya Luhanga

0 comments:

Post a Comment