SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, February 15, 2014

BIG BON WASHEREHEKEA VALENTINE'S DAY KWA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAO

Wafanyakazi wa kituo cha kuuza mafuta cha Big Bon kilichopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam wakipozi huku wakiwa na zawadi za Valentine's kwa ajili ya wateja wao.
Mmoja wa wafanyakazi wa Big Bon akimpatia mteja zawadi kwa ajili ya Siku ya Wapendanao.
Mojawapo ya zawadi zilizotolewa kwa wateja wa Big Bon jana.

0 comments:

Post a Comment