---
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
umempelekea Zitto Kabwe taarifa ya kikao cha Kamati Kuu kilichomvua
madaraka yake ndani ya chama hicho ili aweze kukata rufaa Habari za kutoka ndani ya Chadema zinaeleza kuwa
Kamati Kuu ya chama hicho ilifikia uamuzi huo wakati wa vikao vyake
vilivyofanyika kati ya Januari 3 na 4, mwaka huu.
Kutokana
na uamuzi huo, Zitto sasa ataweza kukata rufaa ya kupinga kuvuliwa
madaraka kwenye Baraza Kuu la chama hicho.Taarifa zinaeleza kuwa kamati
hiyo ilimwagiza
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kumpatia mwenendo wa kikao
Zitto ili aweze kukata rufaa.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.....
0 comments:
Post a Comment