Mgombea wa Chadema Ndg. Hashim Issa Juma akiomba Kura kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki. katika mkutano wake wa Kampeni.
Mgombea Uwakilishi kupitia Chama cha Chadema Ndg. Hashim Issa Juma
akijinadi kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakati wa kampeni zake
kuomba kura kwa Wananchi wa Jimbo hilo katika Mkutano wa Kampeni
uliofanyika viwanja vya kiembesamaki Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadame Zanzibar Hassan Mussa Yussuf, akitowa Sera
za Chama chake katika mkutano wa kumnadi Mgombea wao kuwania Jimbo la
Kiembesamaki, katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya kiembesamaki
Zanzibar.
Mzee wa Chadema Zanzibar akitowa Sera za Chama chake na kumuombea kura Mgombea wao Ndg. Hashim Issa Juma
Meneja Kampeni wa Mgombea wa Chadema Said Juma, akimnadi mgombea wake
katika viwanja vya kampeni vya kiembesamaki wakiwa katika harakazi za
mikutano hiyo.
Katibu wa Chadema Mjini Ndg. Yussuf Khatib, akimwaga sera za Chama chake
kwa Wananchi waliohudhuria Mkutano wa kampeni katika viwanja vya
kiembesamaki.
Mbunge wa Chadema kupitia Nafasi za Wanawake Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar Mhe. Abama, akimnadi mgombea wake.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mjini Magharibi Bi. Rufaa Mohammed Bakari,
akihutubia katika mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Kiembesamaki Zanzibar katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika
viwanja vya kiembesamaki.
Mbunge wa Nafasi za Wanawake kupitia Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Maryam Salum Msabaha, akitowa Sera za Chama chake na kumuombea kura
Mgombea wao wa Nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar,
katika mkutano wa kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jibola Kiembesamaki .
0 comments:
Post a Comment