Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha
Tairi la mbele ya Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines)likiwe limezama kwenye mchanga nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha
Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha
--
Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopia Airlines ikiwa na abiria zaidi ya 300 imetua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha Airport, mkoani Arusha.
Ndege hiyo imetua katika uwanja huo unaotumika na ndege ndogo tu, baada ya kushindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA, kufuatia kuwepo ndege iliyoharibika kwenye njia ya uwanja huo.

0 comments:
Post a Comment