SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, December 12, 2013

Baadhi ya wamiliki wa mabasi wamelalamikiwa kutoza nauli kubwa msimu huu.



Licha ya mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini kuthibiti viwango vya nauli msimu huu wa krismasi na mwaka mpya baadhi ya wamiliki wa mabasi wamelalamikiwa kuendelea kutoza nauli kubwa tofauti na viwango halali vilivyowekwa na mamlaka husika.

0 comments:

Post a Comment