SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, November 10, 2013

WABELGIJI WATUA NCHINI KUWEKEZA

1
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni mwa wawekezaji 65 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr. Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya Tanzania3
 4
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia. 5Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
6
 7
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akihojiwa na waandishi wa habari kutoka kituo cha ITV ambao walifika katika mapokezi hayo.

0 comments:

Post a Comment