DMK, Alex
Kassuwi na Davis Mosha wakisubiri mwili wa Martha Airport October 30,
2013
Ndugu
zangu hadi hivi sasa siamini yaliyotokea, bado haijaingia akilini kama mke wangu
mpenzi
Martha Shani hatunaye tena! Siamini kama Martha amefariki! Naona yupo. Ndugu zangu kwa sasa nipo katika kipindi kigumu sana, nikiwa mwenyewe nikiangalia watoto machozi yanitoka. Maneno ya kinywa changu hayawezi kuelezea kuugua kwa nafsi na roho yangu. Ndugu zangu, |Mama zangu, kaka zangu, dada zangu, mashemeji zangu, wakwe zangu, marafiki na jamaa zangu pamoja na yote haya sina budi kutoa shukrani zangu kwa yote mliyonitendea kuanzia maombi hospitali, kuwa nasi kipindi chote cha msiba mpaka kuusafirisha na kuuhifadhi mwili wa mpenzi wangu nyumbani Tanzania ambapo tulizika Alhamis Oktoba 31,2013 huko Puma Singida.

SHUKRANI
ZA PEKEE KWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
Mhe.
Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Natoa shukrani za pekee
kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa kuwezesha makaratasi ya kuusafirisha
mwili wa mpenzi mke wangu.
Shukrani
kwa wafanyakazi wote wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa kutununulia
tiketi tatu za ndege, mimi na watoto wangu wawili.
Shukrani za pekee kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Familia yake, kwa kuwa nasi kuanzia siku ya msiba hadi mwisho, na kuwahamasisha watanzania wote bila kujali dini,itikadi za kisiasa wala ukabila.

SHUKRANI KWA VYOMBO VYA HABARI
Navishukuru
sana vyombo vyote vya habari vilivyoshiriki kuhabarisha juu ya msiba huu. Vyombo
ni vingi sana siwezi taja majina ya vyombo vyote nafasi haitoshi, nawashukuru
sana wanahabari wote. Bali sina budi kutoa shukrani za pekee kwa Swahilitv blog,
DJ Luke wa Vijimambo blog, Mubelwa Bandio wa Changamoto yetu blog, Abou Shatry
wa Swahilivilla blog, Sundayshomari blog, Lucy Patrick blog, DMk411
blog na Issamichuzi
blog kwa kuweza
kuwahabarisha watanzania wote.
SHUKRANI KWA WACHUNGAJI
Mch. Peter
Igogo – Cathedral of Praise Church, Bowie, MD
Mch. Ferdinand
Shideko – The Way of the
Cross Gospel -|College Park, MD
Mch. Mathayo
Malekela – Asssemblies
of God –Georgia Ave, Silverspring, MD
Bishop
Melchizedeck Maturlo – Bethel
Kingdom Church- Hyattsville, MD
Mch. Solomon
Ng’imba kutoka –Double Oak
Community Birmigham Alabama
Mch. Nicodemus
Hanje – Kutoka
Birmigham Alabama
Mchungaji Jerry
Price – International
Community Church
SHUKRANI ZA PEKEE KWA KAMATI YA MAZISHI
MAREKANI
Natoa shukrani za pekee kwa kamati nzima ya Mazishi
Marekani ikiongozwa na Mwenyekiti Bw. Augustino Malinda.
SHUKRANI
ZA PEKEE WATU BINAFSI MAREKANI
Natoa shukrani za pekee kwa Bw. Neto na Mkewe Bi. Kate kwa kuwa nami nyumbani walifika mara moja alipoanguka mke wangu, tumekaa wote hospitali masaa nane pamoja hadi mwisho, wengine waliofika hospitali ni Bw. MK (Dickson Mkama), Mrs. Mohamed, Bora, Bw. Julius Manase na Mkewe, Mchungaji Mathayo Malekela, Mchungaji Peter Igogo, Mch. Jerry Price, , Augustino Malinda, Jack, Mariamu na Mvuniwa, Dada Faith Isingo, Pamela Gea, Kwizera, Sekela, Jack Odong na wengine wengi siwakumbuki majina.
Shukrani pekee kwa Cedra Eaton na Mumewe Bw. Honesty Mulamula

SHUKRANI KWA WANAMAOMBI
Ndani na nje ya Marekani: Dada Nancy Mosha, Alex Dago Motion, Ruth Shani, Neto Mwimbwa, Kate, Mrs. Mohamed, Bora, Julius Manase na Mkewe, Mchungaji Mathayo Malekela, Mchungaji Peter Igogo, Mch. Jerry Price, Augustino Malinda, Mary Mgawe,Jack, Mariamu na Mvuniwa, Dada Faith Isingo, Kwizera, Sekela, Jack Odong, Theresia Kassuwi, Martha kilimba, Neema Shani, Joseph Shani, Noel Shani na Wana maombi wote.
SHUKRANI ZA PEKEE KWA KAMATI YA MAZISHI
TANZANI
Natoa
shukrani zangu za dhati kwa kamati ya Mazishi ya Tanzania ikiongozwa na
Mwenyekiti wa Kamati Bw. Hamis Mpinda.
SHUKRANI ZA
PEKEE WATU BINAFSI TANZANIA
Alex Kassuwi,
Davis Mosha, Muddy na Masanja Mkandamizaji
DMK,
Masanja Mkandamizaji, Joe, Mrs. Davis Mosha, Alex na Chris (Mtoto) wakisubiri
mwili airport October 30, 2013
Natoa
shukrani maalum kwa Davis Mosha na Mkewe (Dada Nancy) kuwa nasi bega kwa bega
kuchangia kwa kiasi kikubwa kuusafirisha mwili wa mpenzi mke wangu toka Marekani
hadi nyumbani Tanzania, Muhimu zaidi familia ya Davis Mosha wamekuwa faraja
kubwa sana kwangu na kwa watoto wangu kwa msaada, upendo walionao na malezi kwa
watoto wangu. Asante sana Davis Mosha na Dada Nancy.
SHUKRANI ZA
PEKEE KWA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA, USAID NA
CDC
Dada Olivia, Alex na Dada
Georgia
Dada Olivia, Alex na Dada Georgia.
Walipokuja nipa pole na kuwakilisha rambirambi za wafanyakazi wa Ubalozi wa
Marekani Tanzania .
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Marekani
walikuja msibani. Kutoka kushoto; Bw. Tairo,Mushi, na MarkD
NATOA SHUKRANI MAALUM KWA
Bw. Hamis Mpinda na marafiki zake Bw. Dan Fundisha Ezekiel
Bw. John Langas
Bw. Vincent Mughwai
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Marekani Tanzania
Wafanyakazi wa NHC Makao Makuu
Bwana na Bi. Ridhiwani Kikwete kwa msaada wao na upendo kwa watoto
Diwani wa CCM kata ya Pangani Kibaha Bi. Mwanaidi Maliki Kiongoli
Diwani wa CCM Puma Mhe. Ramadhani Kulungu
Diwani Ikungi CCM viti Maalum Mama Asha Mnjori
Kanisa la Pentekoste Puma
Mchungaji Peter Ihema wa kanisa la Kanisa la Pentekoste Puma,
SHUKRANI ZA PEKEE KWA TAASISI TANZANIA
1. NSSFNawashukuru sana shirika la NSSF kwa kutoa dola 5,000 (Elfu tano) licha ya kwamba Mke wangu hakuwa mwanachama wa NSSF. Ni msaada wa pekee, nashkuru sana.
Bi. Eunice Chiume na
Bw. Crescentius Magori
2.
IDEA ( Ikungu Development Association)
Nawashukuru sana wanachama wa IDEA kwa upendo na msaada wao.
3. SHAMBOGO FOUNDATION
Shukrani za pekee kwa shambogo Foundation kwa kushiriki kikamilifu katika msiba wa mpenzi mke wangu.
Nawashukuru sana wanachama wa IDEA kwa upendo na msaada wao.
3. SHAMBOGO FOUNDATION
Shukrani za pekee kwa shambogo Foundation kwa kushiriki kikamilifu katika msiba wa mpenzi mke wangu.
MWISHO NATOA SHUKRANI KWA WATANZANIA
WOTE WA NJE NA NDANI YA NCHI KWA MOYO WA UPENDO NA
USHIRIKIANO
0 comments:
Post a Comment