SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, November 13, 2013

Shehena ya Pili ya Mitambo ya Ujenzi wa Kiwanda cha kisasa cha Sementi Mkoani Lindi cha MEIS yawasili

IMG_0777
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw.Ludovick Mwananzila (katikati) akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (kushoto) pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara Bw. Absalom Bohela wakati wa sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya Ujenzi wa kiwanda cha Sementi cha MEIS mkoani Mtwara .(picha na Chris Mfinanga).

IMG_0811
IMG_0757
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha Sementi cha MEIS Bw.Merey Balhabou (kushoto) akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Lindi Bw. Ludovick Mwananzila pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha Sementi mkoani Lindi mitambo hiyo imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini China.
IMG_0545
Meli iliyobeba mitambo hiyo ikiishusha kwenye Bandari ya Mtwara.
IMG_0696
Malori yakiwa kwenye foleni ya kupakia Mitambo hiyo.

0 comments:

Post a Comment