SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 7, 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Ashiriki Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbli alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,Mjini Unguja kulifungua Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akiwa na Viongozi mbali mbali walipokuwa  wakiangalia maonesho ya Vitabu na kazi mbali mbali baada ya kulifungua  kongamano la siku mbili  la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika  nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana,
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkubwa Ibrahim,wakati alipotembelea kazi za mafundi uashi jana alipoyazindua maonesho wakati wa kongamano la siku mbili  la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) alipotembelea sehemu ya wanafunzi wasioona wakati wa maonesho baada ya kulifungua kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar nje ya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwangalia watoto waliokuwa wakisoma vitabu wakati wa maonesho,yaliyofanyika  nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana, baada ya kulifungua  kongamano la siku mbili  la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kulifungua kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika jana   katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,na MKuu wa Mkoa MjiniMagharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar  wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,jana.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment