SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, October 10, 2013

Mtu mmoja amefariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kutokea mlimpuko ktk tanki la lori la mafuta



Mtu mmoja mkazi wa manispaa ya Morogoro amefariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kutokea mlipuko katika tenki la lori la mafuta ya Petroli wakati akifanya matengenezo katika kituo cha mafuta cha Simba oil cha mjini Morogoro.

0 comments:

Post a Comment