SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 26, 2013

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Safarini Ziara ya Kikazi Nchini China.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Iddi, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China.  
(Picha na Ramadhani Othman Ikulu)

0 comments:

Post a Comment