SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 26, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAIS WASTAAFU, AHUDHURIA KIKAO CHA AMANI DRC CONGO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo  Mei 26, 2013. Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kwenye sherehe hizo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wanahabari baada ya kuhudhuria Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo Mei 26, 2016.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika  Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo Mei 26, 2016.
(PICHA NA IKULU).

0 comments:

Post a Comment