SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 1, 2013

Rais Jakaya Kikwete Mkoani Mbeya

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtoto mdogo muda mfupi baada ya Kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mjini Mbeya jana
Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Mbeya wakisalimiana kwa Shauku na Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mjini Mbeya tayari kuongoza sherehe za Mei mosi zinazofanyika mkoani mbeya Leo.
Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment