SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, March 27, 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Alipokutana Kwa Mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam,alipokuwa na Mkutano na Rais wa China Xi Jinping,juzi asubuhi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping,katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam,walipokutana kwa mazungumzo ya Kiutendaji.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimtambulisha Waziri wa Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee,kwa  Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping,katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena
Jijini Dar es Salaam,walipokutana kwa mazungumzo ya Kiutendaji.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping,katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam,walipokutana juzi asubuhi ikiwa ni hatua ua ushirikiano katika
nchi mbili hizi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi Mdogo wa China anyeishi Zanzibar Bibi Chen Yiman,baada ya mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping,juzi asubuhi katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment