SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, March 28, 2013

MBUNGE WA CHAMBANI (CUF) AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Chama Cha Wananchi (CUF), Jimbo la Chambani, Salim Hemed Khamis enzi za uhai wake.

Mbunge wa Chambani (CUF),marehemu Salim Hemed Khamis akiwa amebebwa na baadhi ya wabunge na watumishi wa Bunge baada ya kuanguka ghafla wakati akihudhuria vikao vya kamati za Bunge jana. Picha na Nuzulack Dausen.


VIDEO NA ITV
****
Mbunge wa Chama Cha Wananchi (CUF), Jimbo la Chambani, Salim Hemed Khamis afariki dunia. Mbunge huyo alianguka jana ghafla akiwa katika kikao cha kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake.
CHANZO: BOFYA

0 comments:

Post a Comment