Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia - FFU mkoani Mwanza leo asubuhi
wamelazimika kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto pamoja na
kutembeza mkong'oto kwa waendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda wa
jiji la Mwanza ambao walikuwa wakipambana na askari wa kikosi cha
usalama barabarani wakipinga kukamatwa kwa pikipiki zao, katika
operesheni iliyoendeshwa na jeshi la polisi mkoani humo.
0 comments:
Post a Comment