Watu 17 wamefariki papo hapo na 78 kujeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya Sabena likitoka mkoani Tabora kuelekea Mbeya katika eneo la Kitunda wilayani Sikonge mkoani Tabora, katika kile kilichodaiwa kuwa ni mwendeo kasi wa dereva Ally Nasoro ambaye ametoroka baada ya ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment