SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 15, 2012

RAIS KIKWETE AREJEA DAR BAADA YA VIKAO VYA CCM MJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Waziri Mkuu Mizengo kabla ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma mchana huu, baada ya kumalizika vikao vya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma juzi na jana.
 Rais Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Rais Kikwete akiagana na Nape. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
 Rais akiagana na Godfrey Chongolo Mkurugenzi wa mawasiliano ya Umma Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM.
 Rais akiagana na Mbunge wa Mtera Dodoma, Livingstone Lusinde.
Rais akipanda ndege kwenda Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment