SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 22, 2012

Graduation Ceremony Itafanyika tarehe 29/june/ 2012, Katika Kiota Hiki Lahari Resort Hyderabad India

 Uongozi TSAH unapenda kuwatangazia kuwa Graduation Ceremony itafanyika tar 29.june. 2012, Lahari Resort...
Hivyo watanzania  mnapendwa kujitokeza kwa wingi kusherehekea pamoja kwani ndio Utamaduni tuliojengewa na Nchi Yetu "Umoja +Nguvu Na Mshikamano"
Graduants Rup. 2500/ na Non Graduants Rup. 1000/= Hii ikijumlisha Michezo Mbalimbali+Usafiri kwenda na kurudi +Lunch +Dinner "Buffet" and Many More... 
NYOTE MNAKARIBISHWA
KARIBUNI SANA
UONGOZI
MOHAMED MIKIDADI
TSAH

0 comments:

Post a Comment