SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 22, 2012

AIRTEL YAKABIDHI MKATABA WA AIRTEL RISING STARS KWA DFRA‏

http://api.ning.com/files/cNveEvGnQq0AGHAQPeWdtdj3BvZWYvfhE4NTnkQz2elvmCNoe3xmGClPXN5ju0Hl0MV4AOEVeVh-avoaJmzk3c-DX2VS2uj-/DSC_1492.JPG 
 Ofisa Uhusiano Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia aliyekaa) akitia saini mkataba wa kudhamini michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars 2012, huku mjumbe wa kamati ya mashindano Dar es Salaam, Daudi Kanuti akishuhudia. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (wa pili kushoto ) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF, Saad Kawembe. Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.
http://api.ning.com/files/NWxyDdvuQgWsdh6ocTj2kKoyU0foBIZd5WAZloOIVR7TFuDwiJ8C3fVSy5Mj4EhPAROYo4s7uTFLGZembivhoYakK8sjygZl/DSC_1505.JPG
Ofisa Uhusiano Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia) akikabidhi mkataba wa kudhamini michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 kwa mjumbe wa kamati ya mashindano ya Dar es Salaam Daudi Kanuti baada ya kutia saini udhamini huo. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF, Saad Kawembe. Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.

0 comments:

Post a Comment