SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, April 17, 2012

Halmashauri La Jiji La Mbeya Na Vitendea Kazi Duni Vya Kuweka Jiji Safi

Badala Yake Wafanyakazi Watumia Magunia Yaliyochakaa Na Maboksi Kubebea Taka Taka Hizo!
 Huyu ni mmoja wa Wafanyakazi wa Jiji ambae anafanya kazi hizo na vitendea kazi duni.
 Hapa akipokea Taka Taka.
 Mapumzikoni baada ya kazi.
 Hii ndio hali halisi ya vifaa vinavyo tumika kuzolea Taka taka Jijini Mbeya
Mwisho wafanyakazi hao wamewaomba wapatiwe vifaa ambavyo vitawasaidia kufanya kazi vema kama groves, na mikokoteni pia koleo za kuzolea taka   
CHANZO:BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment