Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati)akikata utepe kuzindua Kituo cha Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria kilichopo Bagamoyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani jana Februari 03, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganon wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua ndani ya jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati alipokuwa katika ziara yake ya Wialaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Isaack Lwali (wa pili kulia) wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Isaack Lwali (wa pili kulia) wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akimalizia ziara yake ya Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kushoto ni Dkt. Isaack Lwali (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba.
Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais
0 comments:
Post a Comment