Julitta Onabanjo akiwapa pole na hongera kwa akina mama wazazi waliojifungua usiku wa kuamkia leo,kwenye hospitali ya Temeke,ambapo Dunia ilikuwa inatimiza idadi ya Watu bilioni 7.
Julitta Onabanjo akiwa na akina mama 7 waliojifungua usiku wa kuamkia leo,ambapo kupitia shirika la mfuko wa idadi ya watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA)-Tanzania lilitoa msaada wa vitu mbalimbali kwa akina mama hao ikiwemo pia hospitali hiyo kwa kupatiwa vifaa mbalimbali vya watoto.
Habari Zaidi Endelea =======>>>
0 comments:
Post a Comment