SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, November 1, 2011

KONGAMANO LA WANAHABARI LA BIMA YA AFYA MOROGORO LAFUNGULIWA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni (kushoto) akizungumza na wanahabari baada ya kufunga kongamano la wahariri na waandishi wa habari waandamizi kuhusu taarifa za tafiti za upatikanaji wa huduma za afya zilitolewazo na Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya (NHIF) nchini. Kongamano hilo la siku mbili lilifanyika mjini Morogoro.
Mganga Mkuu wa Serikali, Mtasiwa akifafanua mambo mbali mbalimbali kuhusu masuala ya dawa na tiba.
Cosmas Nadimi wa MSD, akijibu maswali mbalimbali ya wanahabari kuhusu usambazaji wa dawa nchini
Mwenyekiti wa Kongamano hilo, Lauden Mwambona akiongoza mijadala ya tafiti hizo. Kutoka kushoto ni Benny Mwaipaja wa TBC Manyara na Saiboko wa Daily News.
Mwenyekiti wa Kongamano hilo, Lauden Mwambona akiongoza mijadala ya tafiti hizo. Kutoka kushoto ni Benny Mwaipaja wa TBC Manyara na Saiboko wa Daily News.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika kongamano hilo mjini Moro
Blandina Nyoni akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Clement Mshana (kulia) pamoja na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Deodatus Balile. 

0 comments:

Post a Comment