

Sherehe hizo zilifanyika kitaifa mkoani Morogoro.

Sherehe hizo ziliadhimishwa kitaifa Mkoani Morogoro na kuhudhuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.

(Mei Mosi) iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo na kuhudhuriwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki. Sherehe hizo zilifanyika kitaifa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete.
(Picha na Muhidin Sufiani-VPO).
Na Mo Blog
0 comments:
Post a Comment