SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 5, 2011

RIDHIWANI KIKWETE AKANUSHA TUHUMA KUWA YEYE NI BILIONEA

Ridhiwani akisisitiza jambo kwenye mkutano huo, ambapo aliwapa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Mtikila siku saba za kunanusha uzushi huo.
Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete amezungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kukanusha tuhuma za kumiliki mali zinazodaiwa kuzushwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. 

0 comments:

Post a Comment