SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, May 20, 2011

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA SADC LEO!!

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ua nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe pamoja na ujumbe wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa mkutano maalum wa wakuu
wananchi za Jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika mji mkuu wa Namibia Windhoek.

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), Rais wa Zambia Rupiah Banda (katikati) na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe (kushoto) wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Namibia na wimbo wa SADC ukipigwa wakati wa kuanza kwa mkutano maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya 
kiuchumi kusini mwa Afrika SADC uliofanyika katika mji mkuu wa Namibia Windhoek leo asubuhi.
(Picha na Freddy Maro).

0 comments:

Post a Comment