SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 16, 2011

PROF JAY IS BACK!! NEW TRACK "KAMA IPO"

Baada ya kuwa kimya kwa miaka kadhaa mtu mzima kwenye game la bongo fleva JOSEPH HAULE aka PROF JAY aka DAD  amerudi tena na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la KAMA IPO
Wimbo huu mpya umetengenezwa katika studio ya FISH CRAB chini ya PRODUCER LAMAR.
Sikiliza wimbo huu mpya wa Prof Jay hapo chini kulia NEW BONGO FLAVA.
NA DJ CHOKA.
*************************
NA PIA KUNA NGOMA MPYA ZILIZOTUFIKIA HAPA:
1.HERE WE GO-WAKACHA
2.MOYO WANGU-DIAMOND
3.TAKE YOU OUT-TONEE FT. MAUNDA ZORO
4.MOYO (NOIZ)-WEGA FT. ADOMIDO
5.RUDI-CASH
6.DINI HURU-JERE-ONE FT. BANX NOIZMEKA
Unaweza kusikiliza nyimbo zote hizi hapo chini kulia NEW BONGO FLEVA.

0 comments:

Post a Comment