SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 16, 2011

NEW AVON HOTEL YAIPIGA JEKI TASWA FC

Mkurugenzi wa hoteli ya New Avon Bw. Shaheed Dhanani akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu nia ya hoteli hiyo ya kuisaidia timu ya soka ya Chama cha Waandishi wa habari za michezo nchini TASWA FC  kwa kuikabidhi vifaa vya michezo kwa lengo la kukuza sekta hiyo. 
Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa New Avon Hotel Rahim “ZAMUNDA” na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Leo Noran.    
Mkurugenzi wa hoteli ya New Avon Bw. Shaheed Dhanani akimkabidhi mwenyekiti wa TASWA FC Majuto Omary Jezi kwa ajili ya timu hiyo.Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa hoteli hiyo Bw. Zamunda akishuhudia makabidhiano hayo.
Mwenyekiti wa TASWA FC Majuto Omary akikabidhiwa jezi yenye jina lake na Mkurugenzi Mkuu wa 
New Avon Hotel Bw. Leo Noran. 
Na Mo Blog.

0 comments:

Post a Comment